Skip to main content

Leo tunapotimiza miaka 25 tangu kuondokewa na kiongozi wetu mahiri, bado tunajivunia kuendelea kuwa Taifa lenye misingi imara aliyotuachia ya amani, umoja, upendo na mshikamano.

Submitted by admin on 14 October 2024

Leo tunapotimiza miaka 25 tangu kuondokewa na kiongozi wetu mahiri, bado tunajivunia kuendelea kuwa Taifa lenye misingi imara aliyotuachia ya amani, umoja, upendo na mshikamano.

Tunapoadhimisha siku hii, tuendelee kukumbuka na kuienzi misingi hii muhimu kwa uhai wa Taifa letu.

Dkt. Samia Suluhu Hassan
Akiwa katika Kanisa la Mtakatifu Francis Xavier, Nyakahoja, Mwanza.