Skip to main content

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄LIVE: UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA (MSLAC) - KILIMANJARO, 29 JANUARI 2025

Submitted by john on 29 January 2025

Maelfu ya wakazi wa Kilimanjaro walijitokeza kwa wingi kushiriki katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia (MSLAC) uliofanyika tarehe 29 Januari 2025. Uzinduzi huu ulifanyika katika viwanja vya Ushirika mjini Moshi, ukiwa na lengo la kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu msaada wa kisheria, haki zao, na umuhimu wa kutatua migogoro kwa njia mbadala kama upatanishi na maridhiano.