Skip to main content

Maafisa Dawati la huduma za msaada wa Kisheria Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wakitoa Huduma hiyo kwa mama wa Mtoto mwenye changamoto ya usonji aliyetelekezwa na mumewe kata ya Msakuzi

Submitted by admin on 20 December 2024

Kupitia Kampeni ya Mama Samia legal aid msaada wa kisheria umetolewa kwa kuhakikisha haki na ustawi wa mama na mtoto inapatikana. Msaada wa Kisheria kwa Haki, Usawa na Maendeleo. #mslac #katibanasheria @Sheria_Katiba@sisiniTanzania