Skip to main content

Maafisa Dawati la Msaada wa Kisheria , Kutoka Manispaa Ya Kibaha Walifika katika shule ya sekondari ya Msangani na kuweza kutoa elimu ya Msaada wa Kisheria

Submitted by admin on 7 February 2025

ELIMU ILIYOWEZA KUTOLEWA ILIKUWA NI:

 📍Elimu ya ukatili wa kijinsia

 📍Elimu Ya umuhimu wa Elimu

 📍Elimu ya Athari za Mimba katika umri mdogo

 📍Elimu ya Umuhimu wa kujitambua na kujiamini

 📍Elimu ya Haki za binaadamu

📍Elimu ya Haki za mtoto

📍Elimu kuhusu umuhimu wa utawala bora

📍Elimu ya sheria ya Ndoa kwa walimu 

Walengwa waliopata elimu hizi walishukuru sana na kuahidi kuwa mabalozi wazuri kwa wengine katika kuhakikisha hakuna haki ya mtu inapotea.

@SuluhuSamia

  #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #matokeochanya #sisinitanzania #SSH