Skip to main content

Maafisa dawati la msaada wa kisheria manispaa ya kahama. Wamefanikiwa kutembelea shule ya sekondari MAMA SAMIA na kutoa elimu ya maswala ya ukatili wa kijinsia na haki za watoto