Skip to main content

Maafisa kutoka wizara ya katiba na sheria mkoani Lindi halmashauri ya Ruangwa wakiendelea kuwahudumia wananchi mbalimbali waliojitokeza kupata huduma za Masada bure wa kisheria