Skip to main content

Maafisa maendeleo ya jamii dawati la msaada wa kisheria manispaa ya mtwara walifika katika shule ya msingi Majengo kata ya tandika na kutoa elimu juu ya ukatili wa kijinsia na haki na wajibu wa mtoto