Shughuli hii ilifanyika katika vijiji vya Mvuha na Changalawe, ikilenga kukuza uelewa wa haki za binadamu, ustawi wa jamii, na mbinu za kukabiliana na changamoto zinazohusiana na ukatili wa kijinsia. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya