Skip to main content

Maafisa maendeleo ya jamii, wamefanikiwa kutoa elimu ya msaada wa kisheria MSLAC katika shule ya sekondari Isoso iliyopo kata ya Kishapu. Elimu ilyotolewa ni ukatili wa kijinsia, haki za watoto na pia walifanikiwa kuwasikiliza wanafunzi changamoto zao