Skip to main content

Mbambakofi, Nanyamba - Katika juhudi za kuhakikisha kila Mtanzania anapata haki ya msaada wa kisheria, wananchi wa kijiji cha Mbambakofi, Halmashauri ya Mji wa Nanyamba, wamefikiwa na kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC)

Submitted by admin on 24 December 2024

Kampeni hii inalenga kutoa elimu ya kisheria, ushauri, na huduma za kisheria kwa wananchi wa maeneo mbalimbali nchini.

Kwa kushirikiana na wadau wa sheria, serikali kupitia MSLAC imekuwa ikifanya kazi ya kufanikisha upatikanaji wa haki kwa kila mtu, hususan wale wanaoishi maeneo ya vijijini, ambako mara nyingi upatikanaji wa huduma za kisheria ni changamoto.

#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano