Skip to main content

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

Submitted by admin on 31 January 2025

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu  akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia iliyofanyika katika Viwanja vya Stendi ya Mabasi Manispaa ya Moshi.

#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @biteko

@katibanasheria_ @profkabudipjam @Victoria

.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi