Skip to main content

Moja ya changamoto kubwa katika mifumo ya haki ni ucheleweshwaji wa kesi, hasa kwa watu wasio na uwezo wa kulipia gharama za uendeshaji wa mashauri

Submitted by admin on 21 December 2024

Huduma za msaada wa kisheria husaidia kupunguza changamoto hizi kwa kuwasaidia watu wasiojiweza kufungua kesi zao kwa haraka, kufuatilia mwenendo wa mashauri, na kuhakikisha wanapata haki kwa wakati. #MSLAC. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @biteko

@katibanasheria_ @prof

.kabudipjam @victoria

.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi