Skip to main content

MSAADA WA KISHERIA DODOMA MJINI

Submitted by admin on 26 December 2024

Maafisa maendeleo ya jamii dawati msaada wa Kisheria Wilaya ya Dodoma Mjini katika Mkutano wa Wananchi Kata ya Mtumba, Mtaa wa Mtumba wakitoa elimu kuhusu Msaada wa Kisheria na kuwaeleza juu ya uwepo wa dawati la msaada wa kisheria wamefurahia juu ya uwepo wa dawati hili katika kutatua changamoto Za Kisheria katika jamii. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @IkuluMawasiliano