Skip to main content

Msaada wa Kisheria Katika Masuala ya Ndoa

Submitted by admin on 22 January 2025

Masuala ya ndoa, ikiwemo talaka, migogoro ya kifamilia, na ulinzi wa watoto, ni changamoto nyingine inayohitaji msaada wa kisheria. Wanandoa mara nyingi hukosa uelewa wa haki zao kisheria, jambo linalopelekea migogoro kuendelea. Msaada wa kisheria unasaidia kwa:

- Kuelimisha wanandoa kuhusu haki zao kisheria.

- Kusimamia kesi za talaka kwa haki na usawa.

- Kusaidia katika masuala ya kugawana mali na haki za malezi ya watoto.

#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Tanzania