Skip to main content

Msaada wa Kisheria Katika Migogoro ya Ardhi

Submitted by admin on 22 January 2025

Migogoro ya ardhi ni miongoni mwa matatizo yanayojitokeza mara kwa mara kutokana na umiliki, matumizi, na mipaka ya ardhi. Sababu kuu za migogoro hii ni ukosefu wa hati miliki, uvamizi wa ardhi, na kutokuelewana kati ya familia au majirani. Kupitia msaada wa kisheria, wananchi wanapewa elimu kuhusu:

⚙️Umuhimu wa kuwa na hati miliki ya ardhi.

⚙️Taratibu za kufungua kesi za ardhi.

⚙️Njia za usuluhishi wa migogoro kama vile upatanishi na mazungumzo.

#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Tanzania