Skip to main content

Msaada wa kisheria ndani ya maonesho ya Nane Nane

Submitted by admin on 2 August 2024

Msaada wa kisheria ndani ya maonesho ya Nane Nane yanalenga kuhakikisha kuwa wananchi wanapata elimu ya sheria, huduma za ushauri, na ufumbuzi wa matatizo mbalimbali ya kisheria wanayokumbana nayo katika maisha yao ya kila siku. #MSLAC #Katibanasheria #Ikulu