Skip to main content

MSLAC ina jukumu kubwa katika kusaidia wananchi kushughulikia migogoro ya mirathi kwa njia ya haki, huku ikiheshimu na kulinda haki zao kama zinavyoainishwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania