Skip to main content

MSLAC inatoa salamu za pole kwa wote walioathirika na ajali ya Kariakoo.

Submitted by admin on 18 November 2024

Tunawaombea majeruhi wapate nafuu ya haraka, na wale waliokwama waokolewe salama. waliotangulia mbele za haki, tunamuomba Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi, Ameen. #Katibanasheria #Nchiyangukwanza