Skip to main content

MSLAC ITALETA HAKI ITAKAYOLIINUA TAIFA LA TANZANIA

Submitted by admin on 31 January 2025

WKS  Mhe. Dkt.  Damas Ndumbaro amesema, "Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni utekelezaji wa  dhamira  ya  Mhe. Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha Taifa lina Haki na Amani." #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @biteko

@katibanasheria_ @profkabudipjam @Victoria

.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi