Skip to main content

MSLAC Katika Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe

Submitted by admin on 20 February 2025

Image

Shule ya Sekondari Shekilango iliyopo Kata ya Mombo Wanafunzi wakipewa Elimu juu ya Haki za watoto na Ukatili kwa watoto, Namna ya kuukabili ukatili na Madhara ya ukatili, kupitia Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia,

Elimu imetolewa kwa wanafunzi wa Kidato cha kwanza hadi kidato cha Nne,

Mada hizo ziliwasilishwa na Maafisa maendeleo ya Jamii, Dawati la huduma za kisheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe.