Skip to main content

MSLAC, MKOMBOZI WA HAKI ZA MIRATHI KWA WANAWAKE NCHINI TANZANIA

Submitted by admin on 9 August 2024

Katika jitihada za kutetea haki za wanawake na kuhakikisha kwamba wanapata stahiki zao, MSLAC (Mama Samia Legal Aid Campaign) imejikita kusaidia wanawake waliozidiwa nguvu au kunyimwa haki zao, hususan katika masuala ya mirathi. Hii ni hadithi ya mmoja wa wanawake waliopata msaada kupitia kampeni hii muhimu.