Skip to main content

MSLAC MOROGORO MJINI

Submitted by admin on 6 January 2026

Morogoro Mjini, katika Stendi ya Zamani ya Mabasi, mwananchi akikabidhiwa hati ya kiapo kwa ajili ya kuwasilishwa mahakamani ili kuwa msimamizi wa mirathi, kupitia banda la Wizara ya Katiba na Sheria walioweka kambi katika Kliniki ya Msaada wa Kisheria.

Image

Image