Skip to main content

MSLAC NDANI YA ILALA MKOANI IRINGA

Submitted by admin on 21 February 2025

Image

Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imeendela katika Mtaa wa Mlamke, kata ya ILALA katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Mkoa wa Iringa -Maafisa Maendeleo ya Jamii-Dawati la Msaada wa kisheria wameendelea kutoa Elimu ya Msaada wa kisheria, ukatili wa Kijinsia, Haki za binadamu, haki za makundi mbalimbali na Maambukizi ya Virusi na Ukimwi katika shule ya Sekondari Mlamke.

Image

#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya