Elimu ya msaada wa kisheria ikitolewa kwa wanafunzi wa shule ya msingi Msufini iliyopo kata ya kilindoni, wilaya ya mafia na wataalamu tofauti wa Mslac akiwemo polisi kata, afisa dawati la Jinsia, wanafunzi na watumishi kutoka jeshi la polisi, Maafisa dawati la msaada wa kisheria wilaya ya Mafia, afisa ardhi, mwanasheria wa halmashauri, mwanasheria kutoka chama cha mawakili Tanganyika (TLS), afisa ustawi wa jamii.
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya