Kampeni ya Msaada wa Kisheria imefika Manispaa ya Morogoro, katika Kata ya Kilakala, Mtaa wa Kola, madereva wa bodaboda wamepewa maarifa kuhusu haki zao za kisheria, wajibu wao, na namna ya kushughulikia changamoto mbalimbali wanazokutana nazo kazini.
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Tanzania