Ikiwa ni siku ya tatu pekee tangu kuzinduliwa kwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mnamo tarehe 24 Januari, 2025 Mkoani Mtwara, Kampeni imeendelea kuyafikia makundi mbalimbali ya Wananchi ili kutoa Huduma, Elimu ya masuala mbalimbali yanayohitaji Msaada wa Kisheria
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Tanzania