Dawati la Msaada wa kisheria MSLAC. Halmashauri ya wilaya ya Busega imetembelea kata ya Lamadi katika mkutano wa uundaji wa Jukwaa la wanawake kiuchumi na maandalizi ya siku ya wanawake Duniani. Vilevile imetoa Elimu ya msaada wa kisheria kuhusu utatuzi wa migogoro mbalimbali.
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya