Katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kitongoji cha Nyakahanga, Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, afisa wa Dawati la Msaada wa Kisheria alipata nafasi ya kutoa elimu muhimu kwa wananchi kuhusu masuala ya kisheria. Elimu hiyo ililenga kuwajengea ufahamu wa haki zao za msingi na jinsi ya kushughulikia changamoto zinazohusiana na masuala ya sheria.
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Tanzania