Skip to main content

MWANANCHI ELEWA KATIBA, ELEWA HAKI ZAKO

Submitted by admin on 14 July 2024

Hatua ya kwanza ni kujifunza na kuelewa haki zako kama zilivyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katiba inaeleza haki za msingi za binadamu, ambazo ni muhimu kujua ili uweze kutetea haki zako ipasavyo.

 #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC