Skip to main content

Naibu Katibu Mkuu @maendeleoyajamii Wakili Amon Mpanju amesema kuwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itaiwezesha Jamii kuepukana na migogoro mbalimbali na kuleta Suluhu katika migogoro ambayo ipo katika Jamii