Skip to main content

NANI ANAYO HAKI YA KUFAIDIKA NA ARDHI? MSLAC YATOA MSAADA WA KISHERIA JUU YA ARDHI MKOANI SINGIDA

Submitted by admin on 17 January 2024

Haki ya Kufaidika na Ardhi (Usufruct): Hii ni haki ya kutumia matunda na manufaa ya ardhi fulani bila kuwa na umiliki wa kudumu.