Skip to main content

NI KWA NAMNA GANI MSAADA WA KISHERIA UNATOLEWA

Submitted by admin on 13 January 2024

Rajabu Mussa, mmoja kati wa wananchi wa kijiji cha Matumbo kata ya Mtinko, Wilaya ya Singida Vijijini, aliyepata nafasi ya kuhudhuria semina elekezi, akieleza namna alivyopata elimu na msaada wa kisheria unaotolewa na timu ya Mama Samia Legal Aid Campaign Mkoani Singida.