Mafanikio yameendelea kuonekana baada ya wananchi wengi kufika na kupata ufumbuzi wa changamoto zao za muda mrefu na mfupi.
Sambamba na hayo, Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Boniface Anyisile Kajunjumela Mwabukusi ameonesha ushirikiano wa kutosha kwa kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la kutatutua Changamoto za wananchi na kutoa huduma za Msaada wa Kisheria.
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya