Skip to main content

NIA YA SHERIA NI KULETA FURAHA NA SIO KULETA MAUMIVU - RAIS WA TLS , BONIFACE MWABUKUSI

Submitted by admin on 11 March 2025

Mfumo wa sheria unapaswa kuwa chombo cha kulinda haki za wananchi na kuhakikisha kuwa kila mtu anapata huduma za kisheria kwa usawa. Alisisitiza kuwa misingi ya sheria inapaswa kujengwa katika utoaji wa haki kwa wote bila upendeleo, huku akihimiza kuwa mamlaka zinazohusika zinapaswa kufanya kazi kwa haki na kwa kuzingatia misingi ya utawala wa sheria.

"Sheria haipaswi kuwa chombo cha kuumiza au kunyanyasa watu bali ni njia ya kuhakikisha haki inatendeka. Nia yetu kama wanasheria ni kuona kila Mtanzania anapata haki yake bila upendeleo wala ubaguzi," alisema Mwabukusi.

#mslac #sisinitanzania #katibanasheria #matokeochanya #ssh #ssh #ccm #nchiyangukwanza #hakikwawote #habari