

HAPA ni muendelezo wa utoaji wa msaada wa kisheria, kwa wakazi wa kijiji cha Gabimori na kyangasaga vilivyopo kata ya Kyangasaga Wilaya ya Rorya Mkoani Mara,wananchi wanapata kujuzwa sheria ya ardhi, Sheria ya ndoa,Mirathi na wosia,Ukatili wa kijinsia pamoja na haki ya mtoto.#MSLAC #sheria