Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977)
- Ibara ya 13: Inatoa haki ya usawa mbele ya sheria na uhuru wa kupata haki kwa usawa bila ubaguzi wowote.
- Ibara ya 14: Inatoa haki ya kuishi na kupata ulinzi wa maisha.
- Ibara ya 15: Inatoa haki ya uhuru wa kutembea na kuishi popote ndani ya jamhuti ya muungano wa tanzanianchi.