Skip to main content

Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua rasmi Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani

Submitted by admin on 24 February 2025

Image

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi ili kupata huduma hii bure na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote. Kampeni hii ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wananchi.

Image

Image

@ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @samia_suluhu_hassan @kassim_m_majaliwa @biteko

@sisinitanzania

@airtanzania_atcl @arusha_nationalpark #sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #updates #news #habari #habarimpya #news