Skip to main content

✨ Sheria ni mwanga unaoongoza jamii ✨

Submitted by admin on 25 August 2025

Sheria ndiyo dira inayotuweka kwenye mstari wa haki na utaratibu. Bila sheria, jamii ingekosa mwongozo na usawa. Tushirikiane kuzijua, kuziheshimu na kuzifuata kwa pamoja ili kujenga taifa lenye amani na mshikamano.

📞 Kwa msaada wa kisheria piga: 0262160360

👉 Fuata kampeni yetu kwa elimu zaidi: 

@mslegalcampaign #MsaadaWaKisheria #MamaSamiaLegalAid #SheriaNiMwanga #HakiKwaWote #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #matokeochanya