Maafisa Maendeleo Dawati la Msaada wa kisheria walitoa elimu ya kisheria kwa wanafunzi wa sekondari ya Unyambwa iliyopo kijiji cha Ipingu kata ya Unyambwa, Halmashauri ya Manispaa ya Singida na kuwasihi wanafunzi kuzingatia masomo kwani shule inagubikwa na changamoto ya utoro ulikithiri.