Skip to main content

Tanga mmefikiwa na huduma ya msaada wa kisheria,ewe mwananchi wa Mkoa wa Tanga njoo upate elimu ya msaada wa kisheria kuhusu maswala ya ndoa,mirathi,ardhi pamoja na ukatili wa kijinsia