Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Kighoma Malima, akiwa mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, wakati wa Kliniki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika mkoani Morogoro.
Kupitia kliniki hii, wananchi wamepata fursa ya:
Kupata ushauri wa kisheria bure
Kusikilizwa na kusaidiwa kutatua migogoro ya ardhi
Kuelimishwa kuhusu haki na wajibu wao kisheria
Kupata majibu ya moja kwa moja kutoka kwa viongozi wa serikali
Mpango huu unaonesha dhamira ya Serikali katika:
✔ Kulinda haki za wananchi
✔ Kuzuia migogoro isiyo ya lazima
✔ Kuweka misingi ya haki, amani, na utawala bora
#MsaadaWaKisheria #MigogoroYaArdhi #Morogoro #WizaraYaKatibaNaSheria #DktJumaHomera #AdamMalima #HakiKwaWananchi #SheriaNaHaki #UtawalaBora #LegalAidTanzania #HakiZaArdhi #SerikaliInawajibika #WananchiKwanza #AccessToJustice #Tanzania