Skip to main content

TUWE MABALOZI WAZURI KWA WALE WATOTO WANAOFANYIWA UKATILI,DAWATI LA KIJINSIA NILA WOTE

Submitted by admin on 3 April 2025

Jiunge nasi katika kuelimisha jamii, kuhamasisha matumizi ya Dawati la Jinsia na Watoto, na kupaza sauti kwa ajili ya haki, usalama na ustawi wa watoto wote.

✅ Elimu ya Haki za Mtoto

✅ Namna ya Kuripoti Ukatili

✅ Wito kwa Viongozi wa Dini, Jamii na Familia

✅ Ushuhuda wa Watoto na Wazazi

✅ Huduma zinazopatikana kupitia Dawati la Jinsia

👉 Tazama, Subscribe, Share, na uwe sehemu ya mabadiliko chanya katika jamii yako!

#TuweMabalozi #DawatiLaJinsia #LindaMtoto #StopUkatili #MSLAC #WatotoKwanza #tanzania #hakikwawote #sisinitanzania #katibanasheria #ssh #nchiyangukwanza #matokeochanya #msaadawakisheria