Kampeni ya Msaada wa Kisheria (MSLAC) inatoa elimu na msaada wa kisheria bila malipo kwa wananchi wote.
Lengo ni kujenga jamii inayoheshimu sheria na kuhakikisha haki kwa kila mtu bila ubaguzi. Pamoja, tunaweza kuimarisha usawa, amani, na maendeleo kwa kuhakikisha kila mmoja anapata haki yake stahiki.
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Tanzania