Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, inazindua rasmi Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria mkoani Arusha. Kampeni hii inalenga kutoa elimu ya sheria, kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wananchi, na kuhakikisha kila Mtanzania anapata msaada wa kisheria bila vikwazo.
Tunakukaribisha kushiriki katika tukio hili muhimu kwa ajili ya maendeleo ya haki na usawa katika jamii yetu!
📍 Mahali: ARUSHA
📅 Tarehe: 28 March 2025
⏰ Muda: kuanzia asubuhi