Skip to main content

Wanafunzi wa shule ya sekondari Kwembago, kata ya Magamba. Wilaya ya Lushoto wafikiwa na MSLAC na wadau wengine wa Sheria Wamepewa elimu ya Ukatili wa kijinsia na madhara ya rushwa wawapo ndani na nje ya Shule.