Skip to main content

WANANCHI WA TANGA!!! TUNAKUJA

Submitted by admin on 6 April 2025

Muda wa kufutwa machozi kwa wakazi wa mkoa wa Tanga ni sasa  kupita kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama samia,uonapo tangazo hili mjuze na mwenzio ilituweze kujumika na kuelimika kwa pamoja kuhusu maswala ya ndoa,mirathi,ardhi,ukatili wa kijinsia na mwisho wa yote kupata usuluhishi na msaada wa kisheria kutoka kwa watalamu wetu wa sheria kutokea MSLAC na msaada huo ni bure kabisa hauitaji malipo.

#MSLAC #Katibanasheria #Ikulumawasiliano #SSH