Skip to main content

WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA MTANDAO KWA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO

Submitted by admin on 6 January 2026

Wananchi wametakiwa kutumia mtandao (eRITA) kuomba usajili wa vyeti vya kuzaliwa na vifo, huduma ambayo imeboreshwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ili kurahisisha huduma kwa watanzania kote nchini. Mfumo huu wa mtandaoni unalenga kutoa huduma kwa haraka, kwa uwazi, na kwa gharama nafuu bila kuwasababishia wananchi usumbufu wa mara kwa mara kupitia ofisi za makazi.

Katika tafsiri ya sera hii, Patricia Mpuya, Meneja wa Usajili kutoka RITA, amesisitiza umuhimu wa wananchi kutumia mfumo wa eRITA kuwasilisha maombi yao ya vyeti vya kuzaliwa na vyeti vya vifo mtandaoni ili kupata huduma kwa haraka na kwa ufanisi. 

Ippmedia

📌 Tazama video hii kupitia maelekezo ya kina juu ya jinsi ya kutumia mfumo wa usajili wa mtandaoni

📌 Usisahau Subscribe, Like, Share na Comment

#eRITA #RITA #VyetiVyaKuzaliwa #VyetiVyaVifo #UsajiliMtandaoni #HudumaZaSerikali #DigitalGovernment #SheriaNaHaki #HakiKwaWananchi #ElimuYaSheria #Tanzania #WananchiKwanza #AccessToJustice #LegalAwareness #GovernmentServices #SmartServices