Skip to main content

WANAUME WANAOFANYIWA UKATILI NA WAKE ZAO WAFUNGUKA

Submitted by admin on 15 January 2024

Makamu Mwenyekiti Taifa na Mwenyekiti Mkoa wa Singida,wa chama cha wanaume wanaiofanyiwa vitendo vya ukatili hapa nchini, Bw. Selema akitoa uzoefu wa ukatili wa kinjinsia kwa wanaume, katika kikao cha wananchu kikichofanyika katika viwanja vya Stendi Kata Makiungu na Mghaa wilayani Ikungu.