Watetezi wa haki za Mama na Mtoto wamehudhuria banda la Msaada wa Kisheria ili kupata elimu muhimu kuhusu ndoa, umiliki wa ardhi, mirathi, na umuhimu wa kuandika wosia.
Kupitia elimu hii, jamii inapata uelewa wa haki zao na namna ya kuzilinda kisheria, ili kuepuka migogoro ya kifamilia na kuhakikisha haki za wanawake na watoto zinalindwa.
Tazama video hii kujifunza zaidi!
🔔 Usisahau ku-LIKE, KUSHARE na KUSUBSCRIBE kwa habari zaidi!
#HakiKwaWote #MsaadaWaKisheria #MamaNaMtoto #Mirathi #UmilikiWaArdhi #ElimuYaSheria