Skip to main content

WAZIRI DR. DAMAS NDUMBARO AKISIKILIZA MGOGORO WA ARIDHI KUTOKA KWA MWANANCHI ARUSHA.

Submitted by admin on 5 March 2025

Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, akisikiliza mgogoro wa ardhi kutoka kwa mwananchi jijini Arusha. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuhakikisha haki za ardhi zinalindwa na migogoro inatatuliwa kwa haki na uwazi. Tazama jinsi Waziri anavyoshughulikia suala hili kwa kuhakikisha sheria zinafuatwa!

#HakiYaArdhi #DamasNdumbaro #SerikaliYaAwamuYaSita #MSLAC #Arusha